Wizara ya Kilimo imepitisha mbinu ya kukuza uwekezaji .

Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imepitisha mbinu ya kukuza uwekezaji unaolengwa kuelekea mnyororo wa maalum wa thamani hususani katika kuboresha uzalishaji. Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda ameyasema hayo tarehe 11 Juni 2021 wakati akizungumza kwenye Mkutano wa wawekezaji wa Ulaya katika jukwaa la kilimo. Amesema kuwa uzalishaji mdogo wa mazao umekuwa tatizo kubwa